Michezo ya Ligi kuu Primus League nchini Burundi inazidi kuendelea kwa kasi baada ya wiki mbili za mshangao, Vital'o ilijaribu kuwatuliza mashabiki zao kwa kupata pointi tatu ugenini dhidi ya Messager Ngozi ya mkoani Ngozi katika wiki ya tatu.
Tazama picha chache hapa:
Post a Comment