MISHE-BOY

Sport | Soma Ujumbe wa Vidal kwa Lionel Messi

Katika mahojiano kwenye tovuti rasmi ya Fc barcelona, mchezaji mpya wa Barcelona, Arturo Vidal hakuficha ushabiki wake kwa kutuma ujumbe ya pongezi kwa Lionel Messi na baada ya saa moja alipost maneno haya kwenye akaunti yake ya Twitter.

''Messi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia, kwa kile anachofanya, na kwa namna anayofanya! Ninafurahia kushiriki na kuchangia chumba (vestiaire) na wachezaji hao pamoja na yeye''. 

Tuwakumbushe kwamba Lionel Messi alichaguliwa kama mchezaji bora wa mechi kati Barça - Boca Juniors! (3-0) katika fainali ya Kombe la GamperBarça


Hakuna maoni