"Nadhani wote tunafahamu ubora wa kocha Mrundi ambaye amefundisha timu yetu na timu kubwa kubwa za Burundi (Vital'o na Inter Star) kwa mafanikio makubwa hivyo bila shaka yoyote tumejiridhisha kuwa ni mwalimu bora'', alisema Kiongozi wa DC Virunga.