Sport | Orodha na mshangao wa kwanza wa Seedorf, Cameroon
Kocha mpya wa timu ya taifa Cameroon, Clarence Seedorf, Jumatatu hii alitangaza orodha yake ya wachezaji 23 waliochaguliwa kwa mechi ya kirafiki Septemba 08 dhidi ya Comoros.
Mholanzi huyo aliweka mshangao mkubwa mawili kwa kuweka jina la wachezaji wawili kwenye orodha yake, Paul-Georges Ntep mfaransa mara mbili na Adrien Tameze wa Nice. Tayari Ntep aliitwa mara mbili na timu ya taifa ya Ufaransa ila hajacheza mchezo wowote na Ufaransa.
Orodha ya wachezaji 23:
Magolikipa :
1. ONDOA FABRICE, Ostende
2. ONANA ANDRE, Ajax (Pays-bas)
3. KAMENI CARLOS, Fenerbahçe (Turquie)
2. ONANA ANDRE, Ajax (Pays-bas)
3. KAMENI CARLOS, Fenerbahçe (Turquie)
Mabeki :
4. FAI COLINS, Standard de Liège (Belgique)
5. EBOA EBOA Félix, FC Guingamp (France)
6. NGADEU NGADJUI, Slavia Prague (R. Tchèque)
7. OYONGO BITOLO Ambroise, Montpellier (France)
8. YAYA BANANA, Panionios (Grèce)
9. ONGUENE Jérôme, Red Bull Salzbourg
10. BONG Gaétan, Brigthon (Angleterre)
11. NYOM ALLAN, Leganes (Espagne)

Viungo:
12. ZAMBO ANGUISSA, Fulham
13. MANDJECK Georges, Maccabi Haifa (Israël )
14. TAMEZE Adrien, OGC Nice (France)
15. KUNDE MALONG Pierre, Mayence (Allemagne)
16. SALLI Edgar, Nuremberg (Allemagne)
13. MANDJECK Georges, Maccabi Haifa (Israël )
14. TAMEZE Adrien, OGC Nice (France)
15. KUNDE MALONG Pierre, Mayence (Allemagne)
16. SALLI Edgar, Nuremberg (Allemagne)
Washambuliaji:
17. OLINGA FABRICE, FC Moucron (Belgique)
18. ABOUBAKAR VINCENT, FC Porto (Portugal)
19. BAHOKEN STÉPHANE, Angers (France)
20. CHOUPO MOTING ERIC-MAXIM, Stoke city (Angleterre)
21. TOKO EKAMBI, Villarreal
22. NTEP Paul Georges, Wolfsburg (Allemagne)

Post a Comment