MISHE-BOY

Sport | Official : Wachezaji watatu pekee ndio watawania tuzo bora ya UEFA

Mshindi wa mpira wa dhahabu wa Afrika 2017, Mohamed Salah, Nyota mkuu wa Ureno, Cristiano Ronaldo na mchezaji wa Real Madrid, Luka Modric, ndio wachezaji watatu wanao wania tuzo Bora ya UEFA ya Mchezaji wa Mwaka.

Jumatatu hii Jumuiya ya Mpira Ulaya (UEFA) ili tangaza orodha ya wachezaji watatu kwa tuzo ya mchezaji Bora wa Ulaya mwaka 2018, tuzo iliyotolewa katika miaka miwili iliyopita kwa Cristiano Ronaldo.
Mshambuliaji nyota wa Juventus Turin ni mara nyingi sasa anapatikana kwa wachezaji wanawania tuzo hiyi na mwaka huu pia.
Balozi wetu wa Afrika, Mo Salah ambaye anazidi kufanya vizuri Ligi Kuu Uingereza na Ligi ya Mabingwa msimu uliyopita akiichezea Liverpool bila shaka apatika katia trio hii.

Mshambuliaji wa Barcelona aliyepata kiato cha dhahabu ya Ulaya msimu uliyopita, Lionel Messi hapatikani kwenye orodha.

Tuwaweke wazi kwamba wachezaji watatu hawa walichaguliwa kulingana na kura iliyojumuisha makocha 80 pamoja na waandishi wa habari 55 wa vyombo vya habari vya Ulaya.
Mshindi atatangazwa tarehe 30 Agosti.

Walio salia ni pamoja na :

4 Antoine Griezmann (Atlético Madrid / Ufaransa) - pointi 72

Lionel Messi (Barcelona / Argentina) - pointi 55

6 Kylian Mbappé (Paris / Ufaransa) - pointi 43

Kevin De Bruyne (Manchester City / Ubelgiji) - pointi 28

8 Raphaël Varane (Real Madrid / Ufaransa) - pointi 23

9 Eden Hazard (Chelsea / Ubelgiji) - pointi 15

Sergio Ramos (Real Madrid / Hispania) - pointi 12

Hakuna maoni