MISHE-BOY

Sport | Fabrice Ngoma na Makusu waipeleka V. Club robo fainali

Kombe la Shirikisho imeingia wiki yake ya 5 kwa lengo la kupata timu zitazo fuzu robo fainali. Katika kundi  A, As Vita Clubimeweka istoria yake kwenye uwanja mkuu wa Le Martyr dhidi Raja Casablanca (2-0) kupitia wachezaji wake Fabtice Ngoma na Jean Marc Makusu.

Licha ya kusubiria mchezo wao Agosti 29 dhidi ya ASEC Mimosa ya Ivory Cost, AS vita Club itakuwa haina usumbufu wowote kwa sababu tayari imefuzu.

Hakuna maoni