Sport | Eto'o atambulishwa rasmi (Tazama picha)
Mshambuliaji wa Cameroon alitangazwa rasmi kwa waandishi wa habari Jumanne hii, katika klabu ya Qatar ambako amesajiliwa.
"Asante kwa kila mmoja aliyesaidia mimi kufika hapa wakati huu, asante kwa kunipa fursa ya kujiunga na familia hii". Alitamka hayo mshambuliaji wa zamani wa Cameroon akitambulishwa rasmi katika kbalu yake mpya huku akipewa namba 81 na kurithi uongozi wa kuwa nahodha wa klabu hiyo.

Post a Comment