Msanii wa muziki wa kike wa Buja Fleva, Miss Erica naye pia alikuwa miongoni mwa wasanii waliodumbuiza kwenye show ya Utaipenda Concert nchini Burundi ambapo mgeni rasmi alikuwa ni msanii kutoka Tanzania, Aslay.
Tazama hapa picha chache za mrembo huyu
Post a Comment