SPORT | Alexandre Song ajiunga na timu mpya kwasasa
Mchezaji wazamani wa Barcelona na Arsenal alipata na mshangao baada ya kuona timu inajitokeza. Hivi karibuni kuwa na umri wa miaka 31, Alexandre Song Bilong apata changamoto mpya.
Bila klabu kwa muda wa miezi sita na kuondoka kwake kutoka Rubin Kazan, mchezaji wa kimataifa wa Cameroon, Song amesaini mkataba wa miaka miwili na timu ya kifahari ya Uswisi, FC Sion.
Post a Comment