MISHE-BOY

Sport | Haya ndio mabadiliko makubwa ya Kocha Olivier kafanya kwenye kikosi

Kocha wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Alain Olivier Niyungeko ametaja majina ya wachezaji 25 wa timu hiyo watakaochuana na Gabon mwezi ujao Machi 23 nchini Burundi  katika mchezo wa mwisho wa kuwania  kufuzu fainali za Afrika CAN2019.

Katika kikosi hicho Alain Olivier amewarejesha baadhi ya wachezaji ambao miezi za nyuma waliachiwa kwenye kikosi.

Wachezaji waliorejeshwa kundini ni Papy, Fati, Arakaza Mc Arthur, Enock na Mavugo huku Elvis Kamsoba na Caleb hata Tambwe Amissi wakiachwa.

Burundi inashika nafasi ya pili katika kundi C ikiwa na alama 9 ikitanguliwa na Mali yenye alama 11, kwa hiyo Burundi inahitaji kushinda au sare kwa kuweka rikodi ya kushiriki kwa mara yake ya kwanza katika historia ya kushiriki Kombe la Afrika.


Kikosi kilichoitwa :

Makipa :
1. NAHIMANA Jonathan: KMC (Tanzanie)
2. NDIKUMANA Justin: SOFAPAKA (Kenya)
3. ARAKAZA MC Arthur : Lusaka Dynamos (Zambia)

Mabeki :
4. NSABIYUMVA Frédéric: CHIPPA UTD (RSA)
5. MOUSSA Omar: SOFAPAKA (Kenya)
6. NGANDO Omar: AS Kigali (Rwanda)
7. HARERIMANA R. Léon: AS Kigali (Rwanda)
8. NSHIMIRIMANA David: MUKURA VS(Rwanda)
9. NDUWARUGIRA Christophe: AMORA TB Saad (Portugal)
10. NIZIGIYIMANA A. Karim: Vipers FC ( Uganda )

Viungo:
11. DUHAYINDAVYI Gael: Mukura (Rwanda)
12. BIGIRIMANA Gael : Hibernian (Ecosse)
13. KWIZERA Pierre : Al Oruba ( Oman )
14. PAPY Fati: Malanti Chiefs (Swaziland)
15. NAHIMANA Shassiri: AL MOJZEL (Arabie Saoudite)
16. MUSTAFA Francis: Gor Mahia ( Kenya)
17. SHABANI Hussein: Ethiopian Coffee FC ( Ethiopia )
18. AMISSI Cédric: ALT'awoun (Arabie Saoudite)
19. BERAHINO Saido: Stoke City ( England)

Washambuliaji :
20. Fiston Abdoul: JSK (Algérie)
21. SABUMUKAMA Enock: Zesco Utd(Zambia)
22. NDIKUMANA Y. Selemani: AL ADALAH (Arabie Saoudite)
23. AMISSI Mohamed: Nec Breda : Hollande
24. MAVUGO Laudit: Napsa Stars (Zambia)
25. SHAKA Bienvenue: Etoile du Sahel (Tunisie)

Hakuna maoni