MISHE-BOY

News | Baada ya 'Punguka' Lops Miraculo anatuletea 'Nasaka''

Msanii wa muziki wa Bujufleva, Lops Miraculo baada ya kuachia wimbo wake 'Punguka' uliofanya vizuri na kumtambulisha upya tena kwenye tasnia ya muziki nchini Burundi.

Msanii huyo inasemekana kwasasa yuko kikazi ya muziki Afrika Kusini ambapo anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaobeba jina la 'Nasaka' kama alivyo post siku chache kwenye ukurasa wake  wa Instagram na kutoa sababu ya yeye kuipa jina hilo.

Ngoma ya mwisho na post ilikua #Punguka asanteni kwaku ipokeeni vizuri, leo nimekaa chini Najiskia kuachia wimbo mpya Monday mda wowote ule, wimbo ubebao jina la #NASAKA. Iyi ni special kwakila mtu ambae yupo njee ya nchi yake anatafuta ili siku moja aje arudi nyumbani kwao.

Ukiitwa na nduguzo ao mkeo upo mbali ki utaftaji na mambo hayaja jiseti waambie: #BADONASAKA., alipost Lps Miraculo.

Hakuna maoni