Sport | Tambuwa klabu zilizoingiza pesa nyingi zaidi England premier League
Leo kwenye utafiti wangu nimekusogezea hapa klabu kadhaa zilizoingiza mkwanja mrefu kuliko zingine katika ligi kuu ya Uingereza (EPL).
Licha ya klabu ya Manchester City kuchukuwa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, haikufanikisha kuingiza pesa nyingi mbele ya Manchester United ambayo imeingiza pesa nyingi katika matangazo kiasi cha pauni 148,9 ambazo ni kadiri ya bilioni 500 za marundi.
Kupitia runinga ya BT Sport na Sky Sports Manchester United inakuja mbele kwa kufanikiwa kuoneshwa michezo yake mara 28 huku Manchester City na Arsenal ikioneshwa mara 25 tu.
Tazama hapa zilivyoshindana kwa kuingiza mikwanza mirefu
Post a Comment