MISHE-BOY

Sport | Dany Alves hata shiriki Kombe la Dunia, Pigo kubwa kwa Brazil

Habari ya kusikitisha kwa wapenzi wa Brazil waliokua na imani ya kumuona beki wa kulia wa PSG katika Kombe la Dunia 2018 nchini Misri.

Dany Alves alijeruliwa kwenye fainali ya kombe la Ufaransa wiki hii dhidi ya Herbiers, Beki huyu wa kulia wa PSG ataikosa Kombe La Dunia kwa mjibu wa gazeti la Globe Esporte na Shirikisho la Soka la Brazil lilithibitisha maelezo haya.

Kwa mjibu wa vyombo vya habari nchini Brazil, Dany Alves alijeruliwa kwenye goti lake ya kulia,  jeraha ambalo linaweza kumsababishia kuwa nje ya viwanja wiki 6, Brazil Football Federation imethibitisha habari hiyi.

Dany Alves aliichezea timu yake ya taifa tangu mwaka 2006, alikuwa na matumaini ya kushiriki Kombe yake ya 3 na Brazil baada ya 2010 na 2014.
Mchezaji mwenye umri wa miaka 35 anawaachia nafasi wachezaji tatu Fagner (Corinthians), Danilo (Manchester City) na Rafinha (Bayern Munich).

Hakuna maoni