MISHE-BOY

News | Hivi ndivyo Show ya Sat B kwenye Shule ya I .C.A ilivyokuwa | Picha


Show iliondaliwa na wanafunzi wa shule ya ICA inayopatikana mjini kati (Town), Mei 11, 2018 imekuwa ya kupendeza zaidi huku msanii aliye paform ni Sat B.

Wanafunzi, walimu, watangazaji na watu wakawaida waliitikia show hiyo kwa wingi, kinyume na kasoro iliyojitokeza kama Ukosefu wa Umeme haikuziwia show kufanyika.

Aidha kasoro kubwa imejitokeza kwenye show hiyi huku inakua kama desturi ya msanii huyu (Sat B) kila akiwa kwenye stage lazma vurugu ijitokeze.
Show haikumalizika pamejitokeza vurugu kati ya wanafunzi na wapenzi wa msanii, vurugu iliyosababisha uharibifu mkubwa huku baadhi ya watu wakijeruliwa vibaya na wengine kuibiwa simu. 

Tazama Picha ya show hii



Hakuna maoni