MISHE-BOY

News | Hii ndio sababu ya kuandaa Uburundi bwacu


Ikiwa ulikuwa ukijiuliza kuhusu Uburundi Bwacu Tour tamasha iliyoandaliwa na msanii wa muziki wa Burundi Fleva, basi msanii wa kike  Natacha (Labamba) ajibu swali lako  leo Aprili 10, 2018 mbele ya watangazaji wa habari.

Ikiwa kunabaki siku chache tushuhudie Uburundi Bwacu Tour ambayo msanii huyu atapata fursa ya kudumbuiza kwenye mikoa zaidi ya kumi ya Burundi, Natacha alifunguka na kusema  kwamba kitu ichi alikifikiria katika miaka nne ila leo ni kama ametimiza ndoto yake.

'' Muziki wa Burundi Fleva wetu umeanza kufika mbali na kukua, nimefanya kazi na director wa uganda ninaimani wimbo na video yangu niliyomshirikisha shebbah ilikubalika na inaendelea kufanya vkizuri Afrika Mashariki. nilifurahi sana kuona wasanii wa nyumbani wameamua kufuaata njia yangu na kufanya naye kazi(directo). Kwa hiyo tasnia yetu imekua na sio tu kwa wasanii hata Industry nzima. Nimeamua kuandaa tamasha hiyi kuwaburudisha mashabiki wa muziki popote walipo kwa niya ya kutangaza habari njeema ya amani na upendo nchini. Ninaimani wadau na kila mtu anayehusika na burudani akishuhudia Uburundi Bwacu Tour atatambua kama tumepiga hatua ''

Hakuna maoni