MISHE-BOY

InterView | Big Fizzo na Lolilo sio ma rapa wanababahisha tu - B Face

Mwana hip hop wa Burundi Fleva, B Face on the Flo afunguka mbele ya mic ya NickoJunior BujaMusic kwa kusema kwamba Big Fizzo na Lolilo sio ma rappers bali wanagusia tu.

Msikilize hapa alivyo funguka zaidi kuhusu swala hili.
kama na wewe ni msanii una audio, video au unapendelea interview on line (NickoJuniorBmusic) na habari unapenda zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.

Hakuna maoni