Interview | B Face : Bado ningali Treibeka ila naweza kuvunja mkataba mda wowote, ...| Download Mp4
Rapa wa muziki wa Burundi Fleva ambae kwasasa anazidi kuitikisa anga ya muziki wa Hip Hop nchini, B-Face anatamba na tuzo mbili (shahada ya mwana hip hop Bora na msanii bora wa mwaka wa hip hop ) za muziki huo wa hip hop iliyotolewa Decemba 31, 2017 na Soft Media Awards.
Akiwa kwenye uongozi wa lebo ya Treibeka, rapa huyu akanusha habari ya yeye kuachana na Treibeka na kutishia kuondoka endapo mambo hayatakuwa sawa.
kama na wewe ni msanii una audio, video au unapendelea interview on line (NickoJuniorBmusic) na habari unapenda zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.
kama na wewe ni msanii una audio, video au unapendelea interview on line (NickoJuniorBmusic) na habari unapenda zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.
Post a Comment