Video | Tambwe anataka changamoto ya Fizzo na Sat B | Download Mp4
Muigizaji pia mchekeshaji wa Burundi Movie, Tambwe Remy maarafu kama Tambwe The Comedylogy, alifunguka kuhusu kazi yake mbele ya wanakundi wa Tambwe The Great Film kwenye White Party iliyoandaliwa naye kama kiongozi wa Kundi hiyo ya Filamu nchini.
Muigizaji huyo maarufu nchini Burundi baada ya kupata tuzo ya Mchekeshaji Bora wa Kiume 2017, tuzo ambayo iliandaliwa na kampuni Soft Media, alichukua mda huu kuandaa White Party kuweka wazi mipango yake na ya Kundi ili kuendeleza tasnia ya Filamu nchini.
Tambwe aliwataka kusapoti kazi zake pale alipotamka kuwa anatamani kuwa na changamoto kama zile wanazopata wa nyota wa Burundi Fleva, Fizzo na Sat-B.
Ebu Tazama hapa live :

Post a Comment