Nyota wa timu taifa Burundi akiichezea klabu A.S..A.S Djibouti Telecom nchini Djiboutie, Nzokira Jeff apata mtoto wa kike Jumapili hii nakupewa jina la Sumahiya.
Huyo anakua mtoto wa tatu wa Golikipa wa zamani wa klabu ya Vital'o FC.
|
Mkewe na mtoto wake |
Post a Comment