MISHE-BOY

Sport | Wachezaji 6 ambao wanaweza kukosa Kombe la Dunia2018

Kombe la Dunia inakaribia huku wachezaji wengi nyota wa soka dunia wanaweza kukosa kwasababu ya majeruhi yao.

Hapa nimejaribu kuweka orodha ya wacheza nyota sita (6) ambao wanaweza kukosa na kupoteza tukio hili kubwa :

1. Harry Kane
Mshambuliaji wa Uingereza alijeruhiwa  katika mchezo wa Tottenham dhidi ya Bournemouth (1-4). Mshambuliaji huyu wa Tottenham alipata majeruwi kwenye mguu wake (cheville et ses ligaments) na mishipa yake inaweza kuathiriwa. Atakuwa mbali nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.

2.  Neymar
Mshambuliaji wa Paris Saint Germais alivunjika dhidi ya Olympique de Marseille na ameikosa mechi kubwa dhidi ya Real Madrid. wapenzi wa soka duniani hawapendi kumkosa kumuona neyma kwenye kombe hii ila kwa mtazamo wa karibu, nyota wa Brazil anaweza kukosa katika kombe la Dunia.

3.  Benjamin Mendy
Mchezaji wa kimaitafa wa Ufaransa nasumbuliwa na mishipa tangu Septemba iliyopita mpaka sasa hajaanza tena michuano na timu yake ya Manchesta City. Alianza mazoezi ila hakuna kithibitisho kama anaweza kupona araka.

4.  Steven Defour
Kiungo wa Ubelgiji aliyejeruliwa magoti mwezi  Januari, alifanyiwa upasuaji ili arudi kwa araka kwa kuweza kupata nafasi na Ubelgiji ila habari inazidi kudhiririka kuwa bado hajawa sawa.

5.  Manuel Neuer
Golikipa wa Bayern Munich pia wa timu ya taifa ya Ujerumani, hajacheza mchezo wowote msimu huu na hakuna tarehe ya kurejea kwake imetangazwa huku hii hali inazidi kuwapa shaka wa Jerumani.

6. Gylfi Sigurdsson
Iceland inashiriki kwa mara ya kwanza katika Kombe la Dunia, Gylfi Sigurdsson anaweza kukosa kombe hili ya kihistoria la nchi yake.

Hakuna maoni