MISHE-BOY

News | Mpigie kura Muigizaji Tambwe Remy aweze shinda Tuzo ya Sinema Zetu

Muigizaji pia mchekeshaji wa filamu nchini Burundi, Tambwe remy a.k.a Mr Comedylogy aweka rikodi mpya kwa kuwa muigizaji wa Filamu wa kwanza wa Burundi Movie kuwania Tuzo ya SINEMA YETU ya Tanzania.

Muigizaji huyo akiwa kama kiongozi wa Kundi la Filamu Tambwe The great Film nchini Burundi, baada ya kufanya vizuri mwaka 2017 na kupata tuzo ya Mchekeshaji Bora na Spft Media, kwasasa kazi yake inaanza kuvuka mikapa amefanikisha na kuweka rikodi mpya nchini Burundi ya kuwa muigizaji wa kwanza kutajwa kwenye Tuzo ya Sinema yetu nchini Tanzania kupitia filamu yake itwayo  CHOZI LA MAMA.


Kumbuka kuipigia kura Chozi LA MAMA ili aweze kushinda ya Filamu Bora kwenye Sinema Zetu International Film Festival  kwa kutuma ujumbe mfupi ukiandika  NDIO 131 kwenga namba +255 757339567.

kUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA MARA  NYINGI ZAIDI BAADA YA SIKU MOJA ( Kila Siku Kura Moja) 

                                UMOJA WETU NI USHINDI KWA MRUNDI WETU.

Hakuna maoni