MISHE-BOY

Sport | Ernesto Valverde kufuta wachezaji 5 kutoka barcelona msimu ujao

Timu ya Barcelona ikiwa kwenye arakati ya kuimarisha kikosi chake pia inaweza kuachana na baadhi ya wacchezaji wake kuanzia majira ya joto.

Kwa mjibu wa gazeti la Don Balon inathibitisha kwamba viongozi wa Blaugrana  wameamua kuwaachia wachezaji wao tano na kuwaruhusu kutafuta timu katika dirisha la uhamisho ni pamoja na Lucas Digne, Andre Gomes, Denis Suarez, Rafinha (kwa mkopo  Inter) na Gerard Deulofeu ( kwa mkopo Watford). Gazeti hiyo inasema kwamba wachezaji hawa hawawezi kusalia katika timu ata kama hakuna pendekezo ya kufaa Julai ijayo.

Ikumbukwe kwamba upande mwingine nyota wa timu hiyo anazidi kuleta hoja na kuwaomba viongozi wawezi kumsajili mapema sana mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.

Hakuna maoni