MISHE-BOY

SPORT | mtambuwe golikipa anaye shamiri msimu huu 2016/2017

Ikiwa ni mwanzoni mwa msimu 2017/2018 kuna baadhi ya wachezaji wameanza kwa kasi zaidi kwa juhudi yao binafsi na kupelekea timu zao kufanya vizuri kwenye #Primus_Ligue_Burundi.
1. Nahimana Jonathan Milenge (Vital'o)

Anaendelea kutamba kama golikipa bora nchini miaka miwili sasa, ni mlinda mlango namba moja wa timu ya taifa pia wa timu ya Vital'o.
Licha ya uimara wa beki za Vitalo, ana kipaji binafsi cha hali ya juu, uzoefu na uwezo.
Hakika akiendelea ivi bila shaka ataibuka golikipa bora msimu huu.

Hakuna maoni