MISHE-BOY

Kenya : Hamka Ukatike ndiyo jina la nyimbo mpya ya mrembo 2GB

Mwanamuziki wa kike kutoka Kenya mwenye makazi yake Dubai, 2GB anatarajia kutowa nyimbo mpya ambaye ameipa jina la Hamka Ukatike.  Baada tu ya kusaini mkataba na mtangazaji wa kituo cha radio cha Buja FM ya nchini Burundi, Amipro ambaye ndiye atakaye kuwa msimamizi wa kazi ya mwanamuziki huyo kutoka Kenya 2GB.

Akizungumza na Mishe Mishe, 2GB amesema kuwa nyimbo yake mpya Hamka Ukatike ni nyimbo nzuri ambayo itawafanya mashabiki wake kumkubali na kuipenda kazi yake.

Hakuna maoni