SPORT | Huyu ndiye anayeshamiri sana mwanzoni mwa msimu huu 2017/2018
Ikiwa ni mwanzoni mwa msimu 2017/2018 kuna baadhi ya wachezaji
wameanza kwa kasi zaidi kwa juhudi yao binafsi na kupelekea timu zao
kufanya vizuri kwenye
#Primus_Ligue_Burundi .
#Primus_Ligue_Burundi .
2. MWENEBANTU Azor John (Olympic Star)
Beki huyu ni miongoni mwa mabeki bora Burundi msimu huu, anasifika kwa kiwango kikubwa katika kipindi chake cha Olympic Star ya Muyinga na kuwa miongoni mwa mabeki bora Burundi.
Beki huyu ni miongoni mwa mabeki bora Burundi msimu huu, anasifika kwa kiwango kikubwa katika kipindi chake cha Olympic Star ya Muyinga na kuwa miongoni mwa mabeki bora Burundi.
John amekuwa mchezaji muhimu katika safu ya nyuma ya kikosi cha Olympic
Star tangu alipotua Mkoani Muyinga hasa anazidi kung’ara katika mechi
za hivi karibuni.
Post a Comment