Sport | Huyu ndie beki wa kushoto anaezidi kuonesha kiwango kizuri msimu huu 2017/2018
Ikiwa ni mwanzoni mwa msimu 2017/2018 kuna baadhi ya wachezaji
wameanza kwa kasi zaidi kwa juhudi yao binafsi na kupelekea timu zao
kufanya vizuri kwenye
#Primus_Ligue_Burundi
4. Barisinze Nassor ( Olympic Star)
Ameoneka bora zaidi msimu uliyopitia na kuipelekea timu yake kuchukuakombe la Raisi na kufuzu kushiriki kombe la Shirikisho mwaka huu na ndio moja ya sababu ya mchezaji huyu kusalia katika timu yake.
Nassor ni beki bora wa kushoto hapa nchini kwa sasa, anatimiza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa ya kushambulia na kuzuia katika klabu yake Olympic Star ya Mkoani Muyinga.
Kikubwa anacho wazidi wabeki wengi wapa nchini Burundi ni utulivu wake na umaridadi mkubwa wa kuanzisha mashambulizi kwa kupiga pasi sahihi.

Post a Comment