MISHE-BOY

Sport | Huyu ndie beki anaezidi kuonesha kiwango kizuri msimu huu 2017 -2018

Ikiwa ni mwanzoni mwa msimu 2017/2018 kuna baadhi ya wachezaji wameanza kwa kasi zaidi kwa juhudi yao binafsi na kupelekea timu zao kufanya vizuri kwenye
#Primus_Ligue_Burundi

3. Muryango Moussa (Vital'o)

Beki huyu amejiunga na Vitalo msimu huu akitokea Inter Star baada ya kufanya vizuri na kuisaidia Klabu yake ya zamani kutoshuka daraja.
Moussa Muryango Ni mchezaji muhimu kwa kikosi cha Vital'o, kwa hiyo yupo katika viwango vya mabeki bora Burundi , au hata Afrika Mashariki. Anatimiza majukumu yake kama mlinda usalama wa Vital'o pia ni mchezaji mwenye kipaji cha hali juu na ameipelekea vitalo kuwa na beki imara msimu huu.

Hakuna maoni