MISHE-BOY

Sport | Huyu ndie beki wa kulia anaezidi kushamiri msimu huu 2017/2018

Ikiwa ni mwanzoni mwa msimu 2017/2018 kuna baadhi ya wachezaji wameanza kwa kasi zaidi kwa juhudi yao binafsi na kupelekea timu zao kufanya vizuri kwenye
#Primus_Ligue_Burundi

5. Kashindi Joseph Djeph Bakisi (Vital'o)

Beki huyu wa kulia ambae alijiunga na Vital'o msimu huu akitokea Inter Star, ndie anazidi kuonekana kuwa beki bora wa kulia mwanzoni mwa msimu huu nchini Burundi uku akiwa na uwezo wakucheza sehemu yote ya Ulinzi.
Djeph Bakis, uwezo mkubwa anaouonyesha uwanjani, hakuna beki yeyote wa kulia katika michuano ya ligi kuu Primus Ligi Burundi mpaka sasa ambaye ni bora zaidi yake.
Djeph Bakis, Anacheza kwa kutumia akili, pia na uzoefu mkubwa na anajua kukabiliana na kila mchezaji anayekutana naye pia anauwezo wa kufunga magoli, kama ana makosa ni kidogo sana ambayo kocha wake anajitahidi kumweka sawa.

Hakuna maoni