pande za Buja record: Usiniache Dede ndio nyimbo mpya ya mwanamuziki Jay-T
Mwanamuziki Juma Toti
almaarufu kama Jay-t ambae anajulikana kwa nyimbo yake Lydia akishirikiana na
R-Flow. Kwa habari ambao tumeinasa pande za Buja record inatufaamisha kuwa
mwanamuziki Jay-T anandaa nyimbo mpya kabisa ambao itakuja kwa mtindo ambao
mashabiki wake wengi wanamufaamu kwa mtindo wakisharo ila kwasasa anakuja na
nyimbo inaitwa Usiniache Dede, mtindo wa r&b. kwa habari ya chini ya kapeti
inasemekana nyimbo ya Jay-T ambao ameibatiza Usiniache dede ni nyimbo ambao
anamzungumzia baba yake mkubwa ila ni maneno ambao inazagaa sana pande za
Cibitoke, tulipo onana na mwanamuziki
mwenyewe akupenda kuwa wazi na ilo jambo kama ni nyimbo ambao amemutungia baba
yake mkubwa anaye julikana kwajina la Dede.
BurundiFlava : Asww vip
hali ? kuusu nyimbo yako usiniache
dede inasemekana kwamba ni nyimbo unamuimbia baba yako mkubwa ambae ni maarufu
sana ?
Post a Comment