Mcheza
mpira wa miguu anaye ichezeye klabu ya LLB Academic ya mjini Bujumbura, watu
wengi wanamfahamu kwajina la Chancel Ndaye ila kwajina lakisanii ni Gf Sebo anapenda
kuimba katika lugha lakifaransa, wengi wanamfaamu kwa kazi yake moja alipo shirikiana na 19th kwenye nyimbo itwao na kwenye klabu yake ya Lydia Lydic Academic ni
beki. Kw habari ambao tumenasa kwasasa ni kwamba mchezaji Chancel kwasasa
anaanda nyimbo uku akishirikiana na mwanamuziki Taylor Six mzee wa Assalaam
Aleykoum. Baada ya kuojiana na mwanamuziki Taylor ametufahamisha kuwa nyimbo
itaitwa Follow Me ambayo itakuja kwa mtindo wa afro beat Nigerian. Kuhusu lini
nyimbo itakuwa ewani, wausika wa nyimbo ambao ni GF Sebo (Chancel) na
Taylor-Six, wametufaamisha kuwa kwasasa nyimbo iko studio baada ya wiki kama
mbili na itategemeana na hali ya usalama wa hapa nchini hapo ndipo nyimbo
itatoka na moja kwa moja wapenzi wamchezaji Chancel watakuwa na shauku ya
kumusikiliza gisi anavyo imba tofauti na gisi wanavyo muona uwanjani.
Post a Comment