MISHE-BOY

Utaipenda ndio nyimbo mpya ya mwanamuziki Gaga Blue


Mwanamuziki Hakizimana gael kwajina maarufu kama Gaga blue, baada ya kutowa track kama mbili awali moja imechukua na fasi kubwa sana hapa nchini Burundi na kukubaliwa na mashabiki wake wengi nyimbo ambao ameipa jina Me and You ambayo ameshirikiana na mwana mama Chany Queen, baada ya Me and You ametoa nyimbo ambayo ameipa jina la Bite. Kwasasa ameamua kufanya kazi pekee yake kwasababu wengi wanamtambua kwenye nyimbo zake akishirikiana na wasanii wenza ila kwasasa ameona anaweza na ato fanya tena collabdo. chini ya mkono wa producer Chado kwenye studio Drangon Studio ikipatikana hapo buyenzi ndio ametengeneza kazi yake mpya kabisa na kuipa jina la Utaipenda ambayo itakuja kumtanga kimataifa zaidi na amebadili mtindo na kuonesha mataifa kama anaweza na utaipenda kazi yake. kwenye nyimbo Utaipenda utakuja kuona utofauti wa nyimbo zake za awali. kwa sasa kuna nyimbo nyingine ataiachia ingali studio kwa A Tizo.


Hakuna maoni