MISHE-BOY

Muchezaji mrundi Nzokira Jeff anaumwa, kunauwezekano wa kutokucheza mechi kama mbili


Mchezaji mrundi Nzokira Jeff anaye ichezea klabu ya Telecom Djibouti ya nchini Djiboutie, anaumwa maleria na kwasasa anazidi kupata matibabu kwenye hospitali pamoja na madaktari wa klabu yake. Kwa habari ya klabu yake ASS Telecom Djibouti imefaamisha kuwa kama hali Ya mchezaji wao Nzokira Jeff ni nzuri kidogo ila kwa kuweza kumpumzisha inawezekana apewe kama wiki mbili ya mapumziko ila mashabiki na kamati nzima ya klabu inazidi kufanya kila iwezekanao ili apewe rusa ya kucheza mechi ya hapo kesho kwa maana ni mechi muhimu sana tena ngumu.
Tulipo hojiana na umoja ya madaktari ametufaamisha kuwa ''Jeff ni golikipa muhimu sana kwenye klabu yake ndio maana tunazidi kufanya uwezo wote ili tuone amejisikia vizuri na awe kwenye mechi ya hapo kesho.''
Tuwafaamishe kuwa Nzokira Jeff amekwisha teuliwa kama mchezaji bora wa wiki mbili ya ligi kuu ya Djiboutie tena mchezaji bora ( l'homme du match) wa mechi ya derby dhidi ya klabu Garde Republique, walipo pata ushindi wa bao 3-0 na kuzidi kuongoza kwenye msimamo wa ligi kuu.




Hakuna maoni