Mwanamuziki Jay-t Sharo kwasasa anajiusisha na mambo ya ufundi
Mwanamuziki Juma Totti almaarufu kama Jay-t sharo ambae amekwisha fanza mambo mazuri sana pale ambapo ametowa track uku akishirikiana na R-Flow kwenye nyimbo yake lydia. baada ya kutowa track kama 3 awali ila nyimbo ya Lydia akipewa nguvu na R-Flow imeweza kumtangaza na kumuweka na fasi pazuri kwenye ulimwengu wa muziki.
Tulipo kutana naye tarafani cibitoke kwenye makazi yake na amekuwa na mengi ya kutufaamisha kuwa sio kazi ya muziki tu ndio inazidi kumuendeleza kimaisha ila pia kazi ya kiufundi na anazidi kusisitiza kuwa vijana kama yeye wazidi kujihussisha na kazi mbalimbali wasitegemeye kazi moja tu.
Tulipo kutana naye tarafani cibitoke kwenye makazi yake na amekuwa na mengi ya kutufaamisha kuwa sio kazi ya muziki tu ndio inazidi kumuendeleza kimaisha ila pia kazi ya kiufundi na anazidi kusisitiza kuwa vijana kama yeye wazidi kujihussisha na kazi mbalimbali wasitegemeye kazi moja tu.
Burundiflava :Asww vip
hali msani jay-t ?
Jay-t : Www safi mtangazaji niko poa
Burundiflava : mahali hapa tunakukuta ni tofauti na kazi yako
ambao tunakufaam zaidi
Jay-T : hahahahaaha yes najua sana kama unapenda kunikuta nikiwa
studio ila leo ni kama surprise ivo unanikuta kwenye kazi nyingine.
Burundiflava : ok tuweke wazi hapa, hii ndio kazi yako ambao
unajishuluhisha ?
Jay-t : yes hii ndio kazi yangu ya awali kabla ata sijaanza
kuimba nilikua nafanza kazi ya ufundi
Burundiflava : ok mi kwa kweli sioni kitu kabisa unachokifanza
ivi niambie ni kazi ipi unajishuluhisha
Jay-t : kwakweli gisi unavyo ona hapa najishuluhisha na kazi ya
ufundi ya parabolique yaani ukiwa na tatizo ya parabolique yako auoni vizuri ao
unataka nikuongezeye ma chaine zingine unaniita tu niko kwajili ya ku installer
mambo kama ayo.
Burundiflava : yah naona
kabisa na uko maarufu sana kwenye hii kazi yako ya ufundi kuzidi umaarufu wa
kama mwimbaji ?
Jay-t : yes unajua kama hii kazi nimehianza kabla sijawa wahi ata
kuwaza kama nitakuwa mwimbaji.
Burundiflava : kitu gani kimekufanza ujiushishe na muziki ?
Jay-t : dah nimekuwa napenda sana niwe msanii tena maarufu sana
na ndio maana nimeona muziki lazima uwe na pesa ndo unaweza fanza muziki ndio
maana nimeanza kwanza kujifunza na kupata hela ya studio.
Burundiflava : dah kweli uko na akili kunawengine wanafanya
muziki kwa kufanza ila wewe unajua unapoelekea.
Jay-t : asante sana mkubwa
Burundiflava : na kama mtu akikuitaji anakupataje ?
Jay-t : ok anaweza
kunitafuta kwenye namba yangu ya simu 75301582 na naishi cibitoke 7/65.
Burundilva: ok kuusu muziki kwasasa unajipange vipi kwa kwa mwaka huu?
Jay-t: kwasasa niko na track 2 ambao natarajia kwenda studio ila kwasasa najiandaa na natamani kuimba na msanii umoja mkubwa.
Burundiflava: msanii gani unatarajia kufanya naye collabo?
Jay-t: kwasasa sito mtaja najua watangazaji munamengi sana ila soon nitawatambulisha
BurundiFlava: ok tunakutakia kila la kheri msani na kazi yako ya ufundi pia ya muziki
Jay-t: asante sana nami pia nawashukuru kuja kujua undani sana wa maisha yangu
Post a Comment