Timu ya taifa Intamba Murungamba imefika salama leo hii nchini Misri
Timu ya Taifa Intamba Murugamba ya wachezaji wasio zidi miaka 23, wamewasili leo hii nchi Misri kwa mechi ya kugombania tiketi ya kufudhu kombe la Afrika U23. kwa mechi ya awali timu ya Burundi imecharazwa nyumbani kwake kwa bao 2 bila, hapo kesho tarehe 12/04/2015 ndio watachezaji mchezo wa marudio ugenini uku wakiwa na bahati ndogo sana ya kufudhu duru ila mambo ya mpira kila kitu uwa inawezakana.
Kesho kwenye uwanja wa Port Suez ndio watachuana timu mbili za taifa Misri ikiwa nyumbani na wakiwa na hakiba ya goli mbili dhidi ya timu ya taifa Intamba Murugamba wakiwa na imani kwamba wanaweza kupata ushindi ugenini.
Kama nzima na kocha mkuu Abdelmalek Ait Ahcene wameweka wazi wachezajji 18 ambao watawakilisha Burundi kwenye mashindano ya kufudhu kombe la Afrika u23. Kuna mchezaji umoja ambae sio marakidogo anakosa kwenye orodha ya wachezaji tena pia amekuwa naodha wa mechi ya awali dhidi ya Timu ya taifa DR Congo mjini Kinshasa (0-1), hapa namzungumzia NDIKUMANA Yussuf Lule / LL s4a, sababu ya mchezaji kutolea kwenye listi ya kujielekeza Misri bado aijawekwa wazi uku nafasi yake ikichukuwa na mchezaji MUBANGO Tresor.
Orodha ya wachezaji ni hii hapa:

1.MBONIHANKUYE Innocent / LL s4a
2.ARAKAZA Mc Arthur / Vital’o fc
3. KIZA Fataki / LL s4a
4. HARERIMANA Rashid Leon / LL s4a
5. NIYONKURU Nassor / Athletico olympic
6. HAKIZIMANA Issa / LL s4a
7. NSHIMIRIMANA David / Vital'o Fc
8. MVUYEKURE Emmanuel / Gunners Fc – Botswana
9. MUBANGO Tresor
10. NDUWARUGIRA Christophe / Chibuto – Mozambique
11. NAHIMANA Shassir / Vital’o fc
12. NSHIMIRIMANA Abassi / Bujumbura City
13. NGANDO Omar / Muzinga Fc
14. ABDOUL Razzak Fiston / Sofapaka / Kenya
15. MAVUGO Laudit / Vital’o Fc
16. SABUMUKAMA Enock / Messager Ngozi
17. MOUSTAPHA Francis / Muzinga Fc
18. NDAYISENGA Kevin DAMBO
- Abdelmalek Ait Ahcene , Kocha mkuu
- KAZE Cedric
Get a website easily and fast.
Trusted Web Hosting, Domain Registration
and Web Design

Post a Comment