Mwanamziki Gaga Blue yupo studio na anaandaa kitu kipya
Mwanamuziki Gaga Blue ambae wengi wanamfaamu kwa ile ngoma ya Buja Flava akishirikiana na Sal-G ambao ime hit sana hapa Burundi na nje ya nch. Baada ya kutowa track me and you akisshirikiana na Chany Queen, kwa sasa yupo studio kwa kutowa nyimbo mpya ambayo itakuja na sura nyingine sana itakayo mtambulisha kimataifa zaidi.
Track inakuja kwajina la Utaipenda, chini ya mkono wake Pro Chado ndiye producer.
Kitu cha kushangaza na itakuwa kama surprise kwa mashabiki wake, Gaga Blue anajiandaa kutowa video mbili mpya kwa mpigo, ameakikisha kwamba khuu ni mwaka wa kufanza kazi sio mda wakutafutana ni mda wakutafuta.
Mashabiki wake mulikua na wasiwasi kwamba Gaga Blue pengine ameacha game hii ya muziki ao amefulia kwajili ya ukimya wa mda mrefu ila habari ni kwamba, Gaga Blue amekuwa ameumwa sana e ila kwasasa afazali na yupo tayari kwa kuachia kitu kipya (Utaipenda), na baada ya Utaipenda kuna nyimbo nyingine iko studio kwa AT-Zo.

Post a Comment