MISHE-BOY

Msanii Taylo-Six ameibuka mshindi wa Top Tano mbele za nyimbo kadhaa kutoka Afrika mashariki

Mwana muziki Taylo-Six ambae anazidi kufanza vizuri sana pande za uko carama na mkoani cibitoke ya rugombo. Baada ya kutowa nyimbo zake kadhaa ambazo zinakuja na mtindo wa Hipo hop America na akitumia lugha ya taifa (kirundi). Mwisho wa mwaka 2014 ameachia kazi yake moja ambao imebeba jina la Money na ikampelekea asikike tena kwenye ulimwengu wa muziki. kwa sasa anatamaba na nyimbo yake ambao imempa nafasi pakubwa sana kwenye radio la colombe kwenye kipindi inayo ongozwa na mtangazaji Kidès, nyimbo yake ijulikanao kama champions  imewekwa kwenye mashindishano inayo julikana kwa jina la ToP Tano na kupata na fasi ya kubwa sana na kuhibuka kama nyimbo ya kwanza uku akiwashinda wapinzani wake kutoka kando zote za Afrika mashariki. kwa sasa mwanamuziki Taylo-Six yupo studio na uku akiandaa kitu kipya kabisa ambao itakuja kwajina la akaga revolution. 

 Tizama orodha za nyimbo ambazo zimekuwa kwenye ùmashindano ya Top Tano
1. Poto Makambo by Les jeunes de R.D.C à Paris (R.D.C)
2. Pesa by Mr Blue (Tanzanie)
3.Champion by Taylo six (Burundi)
4. Undu mweu by Hellena Ken (Kenya)
5. Kileso by MG Blade (Burundi)
6. Rurayunguruye by Social Mula (Rwanda)
7. Sonyiwa by Catherine Kusasira (Ouganda)
8. Raha by T.I.D ft Prof Jay (Tanzanie)
9. Garuka by Trey Max (Rwanda)
10. Weka weka by P-Unit (Kenya)

Hakuna maoni