MISHE-BOY

Timu ya Taifa ya Zimbabwe inatengwa kwa kugombania tiketi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018

Timu ya Taifa ya Zimbambwe inatengwa kwa kugombania tiketi ya kufuzu  kwa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, kutokana na madeni ya kuto kumlipa kocha kocha wa Zimbabwe wa zamani, mbrazil Jose Claudinei Georgini kwajina lake maarufu Valinhos, imetangaza Shirikisho la Soka (FIFA).
Kamati la  Nidhamu Fifa, imetowa taarifa  Machi 12, mwaka 2015, kwa shirikisho la mpira wa mguu Zimbabwe Football (Zifa), kwamba timu ya taifa Zimbabwe imetengwa kwenye ushindani wa awali kwa ajili ya Kombe la Dunia, Russia 2018.
kutengwa uko ni matokeo ya madeni bila kulipa ya Zifa kwa  kocha Jose Claudinei Georgini  ambae amekuwa anaiongoza timu iyo kwa mda mrefu sana. Kwa mjibu wa FIFA imesema kwamba taarifa iyo imetambulika baada ya kocha uyo kupeleka malalamiko yake kwenye Shirikisho la soka FIFA zilizotolewa Agosti 15, 2012 na Jaji pekee wa wachezaji wa Kamati ya FIFA ".
Shirikisho la soka la Zimbabwe (Zifa) inadahiwa na kocha Valinhos dola 67.000, kwa ajili ya mshahara yake na posho ya muda ya kifungu yake kwa muda alikua anaongoza  timu ya taifa mwaka 2008.
FIFA imehimbia Zimbabwe Football Association (Zifa) kwa mda wote huu bila kukata rufaa.

 
 

Hakuna maoni