MISHE-BOY

Hawa ndio wachezaji 10 wa Afrika wanaolipwa pesa nyingi duniani

Baada ya kusajiliwa kwenye  klabu ya kifahari tofauti za Ulaya, wachezaji wa Afrika  Wachezaji hao wanapokea pesa nyingi sana tofauti na wachezaji wanao baki wakichezea Afrika. Takwimu hizi si kuzingatia mapato yanayotokana na mikataba ya matangazo na vyanzo vingine vya mapato.

10. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon), Borussia Dortmund: 
 € 3.000.000(milioni 3) kwa mwaka

9. Salomon Kalou, miaka 29 (Côte d’Ivoire), Hertha Berlin:
Milioni 3.1 kwa mwaka

08.  John Mikel Obi (Nigeria), Chelsea: € 4,400,000 kwa mwaka.


07. Kolo Touré (Côte d’Ivoire), Liverpool FC :milioni 4,9 kwa mwaka 

6. Samuel Eto’o, miaka 33(Cameroun), Everton : milioni 4,9kwa mwaka
5. Didier Drogba (Côte d’Ivoire), Chelsea : milioni 5,2 kwa mwaka. 
4. Michael Essien, miaka 31 (Ghana), Milan AC :milioni 5,8 kwa mwaka.
 
3. Emmanuel Adebayor (Togo), Tottenham : milioni 6,5 kwa mwaka
2. Medhi Benatia (Maroc), Bayern Munich : milioni 8 kwa mwaka
1. Yaya Touré (Côte d’Ivoire), Manchester City :milioni 13 kwa mwaka.
 

Hakuna maoni