MISHE-BOY

TAYLO-Six Kuri Scene, Msanii ambae anakuja kwa kasi kwa mtindo wa kuchana

Msani Taylo-Six, ambae anazidi kufanza mambo ya sio ya kawaida kwenye ulimwengu wa muziki. baada ya kukubalika kona zote ya Burundi, ivi karibuni anatarajia kugonga na kuwa weka nafasi pazuri mashabiki wake wa Cibitoke ya Rugombo.  Mashabiki wake ambao wanapenda  kusikia gisi anavyo chana utafikiri kijana amezaliwa uko pande za watu USA. Kwasasa anatamba na nyimbo yake Money-By-Taylo-Six  
Wapenzi wake wamependa kumuona mkali wa Hip Hop Taylo-Six akiwa kwenye show na uku akiwachania live apana zile ambazo wamezoweya kusikia kwa ma rapa wengine. HAPO TAREHE 14/02/2015 Cibitoke  ya Rugombo Ku Smart Bar. kama kweli unataka kusikia michano ya uhakika kama we kweli ni mpenzi wa mtindo wa Hip hop apana zile za kubaatisha ebu jielekeze Cibitoke ya Rugombo ku Smart Bar wewe na mpenzi wako kwajili ni siku ya wapendanao, siku ambao inajulikana kwa jina ya saint Valentin. Ataanza hivi na Assalam-Alekoum-By-Taylo_Six 
Taylo-Six amesema kwamba eko tayari kwa siku iyo ya wapenda nao, lazima kieleweke na watu watafurahi.

Hakuna maoni