MISHE-BOY

Mchezaji mrundi Papy Faty hali yake ni nzuri sana na amerudia uwanjani baada ya kuumwa mda mrefu

Habari nzuri tena ya kufurahia kwenye timu ya taifa Intamba Murugamba pia na kwa mashabiki wa kijana Papy Faty, baada ya kuwa kwenye hali mbaya ya madhara ambayo imekuwa inamtatiza na kumuweka nje ya viwanja zaidi ya miezi kadhaa. Papy faty ameumia kwenye mechi hapo klabu yake ya Bidvest Wits ya nchini Sauza Afrika imekuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirate tarehe 19/05/2014. Kwajili ya  madhara ayo imempelekea ku kaa nje ya viwanja miezi kadhaa uku ikimsababishia pia kutokucheza kwenye timu ya Taifa Intamba Murugamba. Leo hii kijana Papy Faty ambae bado angali mdogo sana; mwenye umri wa miaka 24 uku akiichezea klabu Bidvest Wits akiwa mchezaji mzuri sana wa katikati tena kitegemeo sana na kwenye timu ya taifa ya Burundi pia, amepona na amerudia uwanjani.
 Kocha wake Guvin Hunt amesikika na kusema kwamba'' nimekuwa napenda sana mchezaji wangu Papy Faty apone mapema  kwajili aje kwakuweza kurudi kuokoa jahazi''

 kwasasa mchezaji Mrundi wa Bidvest Wits amepona na leo hii yupo kwenye orodha ya wachezaji 18 ya klabu yake ambao imejielekeza kwenye uwanja mpinzani na kucheza mechi dhidi ya Marizburg leo hii saa moja na nusu ya usiku (19h30). kwa mjibu wa habari yetu atujafaamu kama ataanza kwenye ile 11 ila kwasasa kijana yuko fiti na mechi kama tatu za kirafiki amecheza na kiwango chake imemridhisha kocha wake Guvin Hunt.
Tuwafahamishe kuwa klabu ya kijana mrundi Papy Faty, kwasasa inachukuwa na fasi ya 3  na pointi 31 kwenye msimano wa ligi kuu ya Sauza Afrika ambao inajulikana kwajina la PSL. klabu ambao inazidi ongoza kwenye PSL ni Kaizer Chiefs ikiwa na pointi 46 na ya pili ni Mamelodi Sundaws ikiwa na pointi 31 sambamba  na klabu ya kijana mrundi Papy Faty uku wakidhidiana ma goli tu.
kwa sasa Timu ya taifa Intamba  Murugamba inaweza kuwa na furaha kwa kusikia hali nzuri kama amepona  Papy Faty mchezaji ambae ni mkali wa ugawaji mipira na akiwa na uzowefu wa hali ya juu.

Hakuna maoni