Msanii Taylo Six ameweka wazi kazi zake zote mahali ambapo unaweza kuzipata na kuzisikilza
Msanii Taylo-Six ambae anazidi kufanza kila uwezo ilimradi tu awakilishe Burundi nzima na mashabiki wakubali kazi yake. Ni Msanii ambae anazidi kuonesha bidii kubwa sana kwenye ulimwengu wa muziki uku akizidi kutowa track zake kadha. tumebahatika kumtafuta ili tusiwe na hofu yakuweza kupata track zote na ametuweka wazi na kutuonesha mahali ambapo tunaweza kuchukuwa nyimbo zake uku tukizichukua bila tatizo yoyote. unaweza kutembelea mtandao wa Hulkshare na kuweza kusikiliza ao kuzichukuwa zinakuwa zako uku ukizikiliza nyumbani pamoja na familia ao jamaa zako. baada tu ya kutowa song kadhaa kijana huu Taylo-six amekuwa msanii wakufatiliwa sana na kujua vip kazi zake zinazidi kuendelea kwajili nyimbo zake zote ni nzuri tena zinakwenda kwa mtindo wa kisasa uku akitumia mtindo wa hip hop.
bonyeza hapa ili kupata nyimbo zake zote ambazo amekwisha towa uku utakuwa na haki ya kuzichukuwa na mda siku inakua ya kwako:
bonyeza hapa:
Http://Www.Hulkshare.Com/Taylo_Six
bonyeza hapa ili kupata nyimbo zake zote ambazo amekwisha towa uku utakuwa na haki ya kuzichukuwa na mda siku inakua ya kwako:
bonyeza hapa:
Http://Www.Hulkshare.Com/Taylo_Six
Post a Comment