MISHE-BOY

matokeo kamili ya Ligi B ao Ligi la daraja la 2

Ligi la daraja la pili (Ligi B) nchini Burundi inaendelea kwa kasi sana uku klabu zote zikiwa tayari msimu huu wa 2015. kwa sasa Ligi B inaingia kwenye wiki yake ya 4.

hii ndio matokeo kamili ya Ligi B burundi ikiwa kwenye wiki yake ya 4

  Tarehe 29 Januari  2015

14h00:     Stade PLR:BS Dynamik 0-2 Delta Stars

16h00:    AC Tanganyika 2-0Les Lierres


 Tarehe 31 Januari  2015: mechi zote izi zimechezwa saa  tisa kamili 15h00

Rumonge:   Les Crocos Fc 2-0Musongati FC

Gatumba:   Espoir 2-0 Flambeau du centre


Kayanza:   Ligala-s 1-1 Mugina FC

Cibitoke:   Rugopharm 2-1Les Elephants

Makamba:  Aigle Noir 2-2 Flamengo

Ngozi:  Olympic Muremera 1-1Unité FC


Hakuna maoni