hatimaye ile track yake Taylo-Six imekwisha kuwa ewani
Msani ambae anapenda kuondoka na mtindo wa Hip Hop, Taylo-six. Amefaamisha siku zilizo pita kama nyimbo yake ambao inakuja kwa jina la Assalam-Alekoum. ni track ambao imekuwa inasubiriwa kwa amu sana na wapenzi wa kijana Taylo-six. imekuwa inapangwa kutoka mwezi wa januari, mwaka 2015 ila ameamua kuiachia kwa wapenzi wake na bado aija achiwa kwenye baadhi ya ma radio.
nyimbo imetengenezwa kwenye studio Dix Record chini ya mkono wake pekee.
Ni kijana mdogo ki umri ila ki music eko na levo ya ki utu nzima kabisa bila kubabaisha, dogo anaweza na anatarajia kutowa video clip ya hii nyimbo yake. kwa sasa nyimbo inapatika hapa na unaweza uka isikia ao kuchukua (download) mda siku inakua ya kwako na unaweza ku itasambaza (share) kwa ma marafiki zako ili nao pia wapate kusikia utamu wa nyimbo uwo.
uwe wa kwanza kwa kuisikia baadae utaniambia kama inafaa au la, we bonyeza hapa kwa kuisikia na kuichukuwa iwe mali yako, si track moja tu ni zaidi ya kazi zake ambazo amekwisha towa.
ok bonyeza hapa :Http://www.hulkshare.com/taylo_six & http://www.reverbnation.com/taylosix6
lazima kitaeleweka tu !!!
nyimbo imetengenezwa kwenye studio Dix Record chini ya mkono wake pekee.
Taylo-Six |

Post a Comment