MISHE-BOY

hatimaye wachezaji 18 wa Intamba Murugamba watakao wakilisha Burundi kwenye mechi ya kirafiki

hatimaye wachezaji 18 ndio wamesalia baada ya kuita wachezaji 28, wachezaji hao 18 ndio watawakilisha Burndi kwenye mechi  ya kirafiki dhidi ya Tanzania tarehe 09/12/2014 mjini Dar-es-salaam na safari ni hapo kesho tarehe 8/12/2014 saa tano pamoja na ndege ya Rwandair ndio itakao wasafirisha wachezaji hao pamoja na kamati nzima itakao wasindikiza. utakuja kuona klabu inao kuwa na wachezaji wengi kwenye hii orodha ni klabu ya LL B s4a kutoka Bujumbura

Kocha : Rainer WILLFELD












 Golikipa:
1. Amissi KANDOLO / Athletico Olympic 
2. MBONIHANKUYE Innocent Madede / LL B  s4a

Walinzi (Beki):

3.  Issa Vidic / LL B s4a  
4. NSHIMIRIMANA David Shukuru / Vital'o Fc
5. Omar / Muzinga 
6. NDUWAYEZU Nice Francky / Messager Bujumbura   

ma alfubeki:

7.  NIYONKURU Nassor / Athletico Olympic
8. Kiza FATAKI / LL B s4a 
9. RASHID Leon / LL B s4a 

Wachezaji wa kati (Middle):

10.  NDUWARUGIRA Christophe Lucio / Chibuto - Mozambique.
11. NAHIMANA Shassir / Vital'o Fc
12.  MVUYEKURE Emmanuel Manou / LL  B s4a  
13. MUBANGO Tresor / Athletico Olympic
14. NININAHAZWE Fabrice Messi / LL  B s4a  
15. NSHIMIRIMANA Abassi / Bujumbura City
16. MVUYEKURE Emmanuel Manou / LL B s4a  

Washambuliaji:

17. ABDUL-RAZZAK Fiston / Sofapaka – Kenya
18. MAVUGO Laudit / Vital'o Fc  

kila la kheri kwa vijana wetu!!! 

Hakuna maoni