MISHE-BOY

Dj-Pro na Happy Famba ndio wasanii wa kwanza video zao kupitishwa kwenye TV ya Ufaransa

habari inayo zaga sana nchini Burundi, ni ya wasani wa wili ambao kazi zao zimevuka mipaka ya Burundi mpaka zinahamua kuvuka mipaka ya Afrika nakuchezwa Ulaya. habari nyingi zimetangaziwa na uku baadhi ya watu kuanza kutupiana maneno ya kasfa. tumechunguza hizi habari na kukuta kuwa habari ni zaukweli kabisa kwamba kazi za wasani wetu zinahanza kuchezwa nje ya nchi na kuonesha moja ya mafanikio na umahiri wa kazi za nyumbani kama zinaanza kukubaliwa ugenini.
baada ya vido yake Happy Famba ao ukipenda unamuita Show Man mkali wa show, kupigwa Rwanda, Tanzania kwenye television kubwakubwa, wengi wameshuhudia na aikupitishwa mara moja ni mara kazaa ila baadhi ya mashabiki walipinga kitu icho na kusema kwamba ni montage. kweli ukiona video ya jigi jigiwe ni nzuri sana ukilinganisha na video ambazo tumezizoweya hapa Burundi. ila kuna kitu tumekuja kugundua kwamba kuna mashabiki wa wasani ambao awafanyi vizuri na uku wanajulikana kama ni wasani wakubwa ila akuna chochote ambacho wamekwisha fanya, wakisikia msanii ambaye awakuwa wanategemea ndiye anakuja kuwahakilisha Burundi ki international pali ya kumupongeza, baadhi yao wanapinga. ni jambo ya kupendeza sana ata kama si mambo ya hajabu ila kwa hapa na kwa levo ya sasa ya muziki ya Burundi fleva vijana wanaweza sana na ni wakati wakuonesha uwezo wao.
 baada ya Jigi jigiwe kupigwa kwenye runinga tofauti za Afrika, ivi imepitiswa kwenye televisheni   kubwa ya Ufaransa inayo itwa kwajina ya Trace Urban. msanii mkubwa anaye julikana Afrika nzima Kidumu alimutumia ujumbe mfupi msanii mwenzie Famba baada ya kuona video ya Famba inapitishwa kwenye Trace Urban ya Ufaransa. sio kidumu pekee yake na Diamond wa Bongo Fleva naye alimupongeza Happy famba kwenye ukurasa wa whatsapp na pia msanii wa Kenya Jaguar amemupongeza kwa kazi kubwa yake na uku bila kumsahau Ali Kiba akimwita kaka Happy famba.
 ila warundi wachache mpaka ivi wanapinga kitu icho kwamba video ya Famba aiwezi kupigwa kwenye televisheni ya Ufaransa, uku msanii Mkombozi akisema kwamba sio kila avahaye nguo chafu ndiye msazi na aliye vaha nguo nzuri, ukimuchunguza akili yake ni sawasawa na msazi.
tuhache mambo ya ufana, Famba ni murundi akionekana mahali popote anawakilisha Burundi nzima.

baada ya Happy Famba video yake ya Jigi jigiwe kupigwa kwenye Trace Urban, na video ya Dj-Pro ya Katoto remix ambae amewashirikisha wasanii wenzake wa wili Sat-B na Mkombozi, video ya katoto remix ni video ambao auwezi kupimanisha na izi video ambazo tumewahi kuzoweya kuona hapa nchini.
kizuri kinajiuza huu ni mda wa wasani ambao wanafanya kazi na bidii wapate heshima kwa kazi yao nzuri.

Hakuna maoni