hawa ndio miongoni mwa balozi ambao watakao wakilisha Burundi kwenye tunzo ya Kora Awards 2014
baada ya siku nyingi sana tunzo ya Kora Awards ikiwasaka wasanii mbalimbali kadiri ya style ya mtindo wa nyimbo zao na kipaji pia, ivi imefika ukingoni na washindi wamekwisha julikana.
walio pata bahati ya kupata kura nyingi kutoka kwa mashabiki wao, walifanikiwa kupata kibali yaani Certificat ambao itawapa fursa kubwa kwakujitangaza kimataifa na wataelekea Ivory Cost.
kwa hapa nyumbani Burundi kuna huu msanii ambae izi siku anazidi kufanya vizuri sana upande wa ma kolabo na song zake binafsi kuzidi kupendwa sana kona zote ya nchi. Msanii Sat-b ambae yupo miongoni mwa wale ma ambassada wanao wakilisha tunzo ya Primusic na uku akiwa kwenye mafungo yaani swaumu kwajili ni mwamini wa dini ya kiislam, mashabiki wengi wanajiuliza maswali kwanini anazidi kupanda kwenye tamasha mbalimbali ya Primusic uku akiwa kwenye mafungo ya mwezi mtukufu wa Ramadhani?
kwa upande wake yeye anazidi kuchapa kazi na ajali maneno ya walimwengu kwamaana ndio kazi inayo muingizia kidogo.
ndiye msanii kwasasa anaye furahiwa sana pindi akiwa kwenye tamasha nzima ya Primusic uku akiwatupa mbali wasani wenzio kwa kufurahiwa na mashabiki.
Sat-B ndiye balozi wa Burundi ambae atawakilisha nchi yake kwenye tunzo ya Kora Awards.
alipo kuwa nchini Rwanda kwa kushuti video ya nyimbo yake Nyandika, ndipo ameweza kupata iyo kibali yaani Certificat kama Best Male Artist kwenye tunzo ya Kora Awards uku akiwapongeza sana mashabiki wake kwakumupigia kura.
upande mwingine ni kundi Best Life ambao ni kundi inakuja kwa kasi sana kuzidi makundi zote pale ambapo walipo orodheswa kwenye tunzo ya Kora Awards mwaka huu na kupata bahati ya kuwa miongoni mwa Best Goup na kuweza kupata Certificat ambao watashirikiana na Sat-B Satura ma Bafle uko Ivory Cost
endapo aujuwi wasanii ambao wanao unda kundi nzima ya Best Life ikisimamiwa na Producer Kent-p ni hawa hapa:Young Dany, Young Jpy, I-G Kiboko, Miss Erica, Gms El Magnifico, Mc Vitaa
Young Dany |
Young Jpy |
I-G Kiboko |
Gms El Magnifico |
Post a Comment