MISHE-BOY

hizi ndizo zawadi mbalimbali ya kombe la dunia kwa upande wa wachezaji walio fanya vizuri


kombe la dunia imefika ukingoni hapo tarehe 13/07/2014, kwa ushindi wa tabu sana wa bao moja bila (1-0) kwa faida ya Ujerimani, na kuipa fursa kubwa kuwa miongoni mwa timu zinazo kombe za dunia nyingi kwa kueneza kombe 4 uku ikiwa sambamba na timu ya taifa ya Italia na timu ya Bresile ikiongoza kwa makombe nyingi ikiwa na kombe 5 za dunia.
Aliye pewa mpira wa zahabu kama mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ni mchezaji Lionel Messi
na kwenye hii tunzo ya mchezaji bora palikua wachezaji 10 na wa 3 wa timu ya Argentina ( Angel Di María, Javier Mascherano, Lionel Messi) na timu ikiwa na wachezaji wengi wa 4 ni Ujerimani (Mats Hummels, Philipp Lahm, Toni Kroos, Thomas Müller), na timu ya Bresile ikiwa na mchezaji umoja tu Neyamr Jr. mu Colombia James Rodriguez, Holland ikiwa namchezaji wake Arjen Robben.
 Lionel Messi kwakuchaguliwa mchezaji bora amepata mpira wa zahabu ( Ballon d’Or Adidas)

- mchezaji bora wa pili ni Thomas Muller aakipewa mpira wa pedha


- nafasi ya tatu ikichukuliwa na Arjen Robben akipewa mpira wa shaba ( ballon de bronze)

- uku mfungaji bora ni mukolombia James Rodriguez akipewa kiato ya zahabu ( soulier d'or) ameeneza mabao 6
 
- mfungaji bora wa pili ni Thomas Muller akipewa kiato ya fedha ( soulier d'argent)

- na mfungaji bora wa tatu walimpa Neymar akiwa na mabao 4 na akipewa kiato ya shaba (soulier de bronze)

- golipa bora ni huu goli kipa wa Ujerimani Manuel Neuer ambae amefanya mambo makubwa sana nakuonekana kuwa golikipa wa kwanza duniani pote baada yakuwa miongoni ya wachezaji  kumi na moja ya mpira wa zahabu ya FIFA 2013 (ballon d'or) na kwasasa ametoka tena golikipa bora kwenye kombe la dunia 2014

Mchezaji bora kijana ambaye akiwa na umri mdogo ni mchezaji kutoka Timu ya Ufaransa
Paul Pogba

na zawadi ya Fair Play imepewa timu ya Colombia

Hakuna maoni