MISHE-BOY

kocha wa zamani Yaoundé pengine kuleta mabadiliko makubwa kwenye timu ya Vital'o Fc

kocha Jean-Gilbert Kanyankore Kagabo al marufu kama Yaoundé,akiwa na umri 60  ivi karibuni amerudi kwenye timu yake aipendaye Vital'o Fc ya nchini Burundi-bujumbura, baada ya kufanya mwaka umoja kwenye klabu ya Kiyovu ya Rwanda. hii ni habari njema sana kwa mashabiki wa klabu hio kwa sababu klabu hipo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligii kuu ya Primus League. tuwafahamishe kuwa kocha huu amefanya vizuri sana kwenye klabu ya vital'o pale ambapo alichukuwa kombe ya CECAFA Kagame Cup mwaka uliyo pita bila kusahau fainali ya kombe ya shirikishowaliocheza.


kwa sasa yeye ndiye kocha wa Vital'o Fc na anachukuwa  muzigo mkubwa wa hapo tarehe 07/06/2014 mechi dhidi ya klabu babe sana hapa nchini na inayo fanya vizuri ni Lydia Ludic fc. mashabiki wanasubiri mabadiliko ya kocha wao wazamani endapo ataweza kufanya vizuri kwenye hio pambano na kuwatowa haibu.
tukumbuke kuwa kwenye mashindano 7 ya taifa  la ligi kuu ya Burundi, vital'o imekwisha chukuwa mara 5, mara moja tu imeshika nafasi ya pili na pia mara moja na fasi ya 3. tarehe 01/06/2013 nchini Darfour klabu ya vital'o chini ya mamulaka ya kocha Jean-Gilbert Kanyankore Kagabo al marufu kama Yaoundé wametawaziwa washindi wa kombe ya CECAFA Kagame cup kwakuishinda APR klabu ya Rwanda. ndio klabu ya kwanza kutoka Burundi kutwaha kombe la CECAFA Kagame cup tangu mwaka 1967, yote kwa mchango mkubwa wa kocha Jean-Gilbert Kanyankore Kagabo al marufu kama Yaoundé


mchezaji huu wa kimataifa tena captain wa timu ya taifa ya Intamba Murugamba, NAHAYO Valery, ameweka wazi nakuthibitisha kuto rudi tena kuichezea timu yake ya taifa, hapo ni baada ya pambano kati ya Burundi dhidi ya wenyeji Botswa (1-0) mechi ya  marudio nchini Botswana na kupata na haibu ya kuondolewa kwenye mashindishano ya mtowano ya kufudhu kombe la Afrika 2015. ndipo amekuja ku post kitu chakustaf kuchezea timu yake ya taifa yaani Burundi. hii habari imeleta utata sana kwenye mitandao na wengine kumushukuru na wengi kumukashfu kwamba endapo Burundi ingefudhu kwenye kombe la Afrika ange weza kujiondowa nakusema kwamba anaeba kuichezea timu ya taifa. ila kila mtu yupo na msimamo wake ata Samuel Eto'o amewahi kusema iyo neno ila amerudi kuichezea timu yake ya taifa nasi pia tusubiri mwisho wake.

Hakuna maoni