MISHE-BOY

kazi nzuri inajiuza, huu ndiye Sharo Copy gisi anavyo jigamba


ni msanii kutoka hapa nchini Burundi, mzaliwa wa bujumbura mtahani cibitoke, Juma Tothi al maarufu kama Jay-t. kwasasa anakuja juu upande wa ki sharo sharo na mashabiki wengi kutoka cibitoke na kinama wameonesha namna gani gisi wanavyo mkubali kwa mitindo yake ya ki sharobaro kama gisi anavyo jigamba.
ni kijana mdogo sana ila kwa sasa kazi yake ya muziki inampa nafasi pakubwa sana nakujulikana mahali popote uku akimuhiga msanii mchekeshaji wa Tanzania hayati Sharomilionea. tulipo ojiana naye ametuweka wazi kuwa ivi karibuni ameweza kutowa nyimbo tatu moja ameimba na Mr Depa al Maarufu kama Mavoko( mzee wa Zena) na nyingine moja ni mpya kabisa ameimba pamoja na R-flow (mukali wa Sheba) na anatarajia kutowa video ya nyimbo hio inayo itwa Lydia, kwa historia fupi ya nyimbo iyo ametarajia kutowa akishirikiana na msanii mkubwa wa hapa nchini Burundi anaye julikana kama Lolilo, ila mambo aikuwa fresh, kwamaana Lolilo amekuwa bize na alikua akitaka mambo mengi kutoka kwa Jay-t ila Jay-t ametaka kutoka na kupata jina kwa msanii Lolilo ila ndoto yake aikutimia ila Mungu amemtowa kwa msanii mwenye sauti nyororo R-flow.
kwa habari nyingine ametuambia kwamba:
kuna wasanii wako na moyo wakusaidiana ila kunawengine awataki kusaidia wadogo zao ili kesho nao waonekani kama wao, amesema Sharo Jay-t.
kwa sasa anajipanga vizuri na nyimbo zake tayari ziko nchini Congo na Tanzania kwa matangazo zaidi na hapa Burundi zinapigwa sana kwenye radio tofauti na amesikika nakusema kwamba huu mwaka ni wake kwa wale wapenzi wote wa marehemu Sharobaro yeye anakuja kuwatowa manjozi  ufahamu kuwa Jay-t sio muimbaji tu na pia nimcheza sinema  na kama aujawahi kusikia nyimbo zake zakuchekesha utakuja kuisikia kazi yake moja hapa. ni wasanii wachache sana kutoka hapa Burundi wanao staili ya vichekesho na kufurahisha mashabiki uku wakionesha furaha yao kwakucheka.
big up  kwa bidii na kipaji chako Jay-t 

Hakuna maoni