MISHE-BOY

wachezaji 23 wa Intamba Murugamba senior wameitwa

hii ndio listi ya wachezaji wa Intamba Murugamba ambao wameitwa ili kujiandaa mechi ya mtoano ya kugombania kombe ya Africa 2015 dhidi ya timu ya taifa ya Botswana. mazowezi imeanza tarehe 08/04/2014.listi imetolewa ni ya wachezaji 23 ya awali tu na pako wachezaji ambao kunauwezekano wasiwasili kwenye machi ya kwanza ila machi ya marudio watakuwepo.
wachezaji ambao wanasubiriwa kuja na kujiunga na wenzao ni hawa :

NTIBAZONKIZA Saidi/ Pologne- Krakow


NDUWARUGIRA Christophe/ Mozambique

NSABIYUMVA Frédéric/Afrique Du Sud

KWIZERA Pierre/ Cote Du Voire

NZOKIRA Jeff/ Djiboutie

NDIKUMANA Yamin Selemani/ Albanie

HABARUGIRA David/Belgique

Lateef Elford Aliyu

Armel Junior DAGRAU /Canada РQu̩bec

 wachezaji 10 ndio watakuja wakitokea nje ya nchi. tuwafahamishe kuwa baada ya liste 19 ya wachezaji wa nje  iliyo itwa mbele, kunawachezaji ambao awatakuja kwajili ya sababu ambazo wameitaka radhi shirikisho na mashabiki wa Burundi kuwa wapo kwenye mambo mengi ya kujiandaa vyema na klabu zao na uhamisho pia. kama Mchezaji BIGIRIMANA GAEL, amesema kwamba awezi kuja kucheza mchezo  wa awali kwasababu eko anajihandaa kuusu uhamisho wake kwenye klabu nyingi mwaka ujao, ila marudio atakuwa pamoja na warundi kwenye timu ya taifa.
wachezaji ambao awatakuepo kwenye hii pambano ya awali ni pamoja na
BIGIRIMANA GAEL , SAIDO BERAHINO , NAHAYO VALERY , JOHANE  na KAZE GILBERT.

Jina ya wachezaji klabu/nchi
BIHA Omar Vital’o /Burundi
ARAKAZA Mac Arthur Flambeau de l’Est/Burundi
RUGUMANDIYE Yvan Athletico Olympic /Burundi
MBANZA Hussein Inter Stars /Burundi
JUMAPILI Iddy Vital’o /Burundi
RASHID Léon LLB Academic /Burundi
NKURIKIYE Léopold Inter Stars /Burundi
NDIKUMANA Yussuf LLB Academic /Burundi
MOUSSA Mossi Vital’o /Burundi
NZIGAMASABO Steve Vital’o /Burundi
NDARUSANZE Claude LLB Academic /Burundi
NAHIMANA Shasiri Inter Stars /Burundi
KAVUMBAGU Didier Azam Tanzania
NDAYISENGA Fuadi Rayons Sports /Rwanda
AMISSI Cédric Rayons Sports /Rwanda
NIZIGIYIMANA Abdul Karim Rayons Sports /Rwanda
SHABAN Hussein Flambeau de l’Est /Burundi
TAMBWE Amissi Simba sports /Tanzania
MURUTABOSE Hemedi Les Guêpiers du Lac /Burundi
RUGONUMUGABO Stéphane LLB Academic /Burundi
HAKIZIMANA Issa LLB Academic /Burundi
KIZA Fataki LLB Academic /Burundi
HAKIZIMANA Pascal Flambeau de l’Est /Burundi

Hakuna maoni